Search This Blog

Friday, April 26, 2019

NCHI TAKATIFU (HOLLY LAND)

Nchi Takatifu ( Holly Land)

Kabla hujawa kama ulivyo tunaambiwa alikuwepo Mungu tu au kwa jina unaloweza kumwita kwa mazoea yako. Mungu ndiye Baba wa wote, aliye juu ya yote, aliye katika yote, na ndani ya yote. Bila yeye hakuna kinachokuwa kama kilivyo. Imeandikwa alifinyanga udongo na kupuliza ndani yake roho wa uhai, kisha binadamu akawa nafsi hai. Mungu aliye roho anaingia katika nyumba aliyoifinyanga mwenyewe. Tukiondoa roho wa Mungu aletaye uhai ndani yako wewe ni nchi, wewe ni udongo.  Kwa Mungu aliye mtakatifu sana kuamua kuacha utukufu wake na kujihengea nyumba ya udongo na kisha kukaa huko, wewe umefanyika nchi Takatifu ( Holly Land), give thanks to God. Mpe utukufu Mungu wewe ni wa kipekee you are gods na kati yenu hakuna aliye zaidi ya mwingine.

Acha kuheshimu au kuhangaika kutafuta nchi takatifu, wewe ndiye nchi takatifu. Acha kutafuta mahala patakatifu pa kuhiji wewe ndiye mahala penyewe alipopachagua Mungu.. hiji ndani yako na endelea kumtolea Mungu Dhabihu za shukrani. Utu wako ndiyo maskani yake Mungu ambayo yanapendeza kama nini? Je unayatamani makao ya Bwana? Ingia rohoni mwako kutana Naye maana imeandikwa je hamjui kwamba ninyi ni hekalu la roho mtakatifu. Mungu ni roho na ajili yake wewe upo na kwa njia yake ukafanyika kuwa kama ulivyo. Wewe ni maskani matakatifu ya Mungu mwenyewe. Acha kukimbiakimbia kumtafuta kule na kule, yeye yupo ndani ya nyumba udongo ambayo ni wewe hapo. Jifunze kumtafuta ndani yako, yupo na hayupo mbali.

Wewe ndiye Taifa takatifu la Mungu na maskani halisi ya Mungu. Wewe ndiye Mungu aliyevaa mwili unaokufa, mwili unaochakaa, na mwenye kusambaratika. Wewe ni taifa la Mungu, ndani yako ni makao halisi ya Mungu. Ukitambua hilo utaanza kuwa huru na mafundisho ya yuko kule Arusha, Abuja, Mwanza, Mwenge au popote, wewe ndiye maskani yake mtazame  kisha anza kufurahi pamoja naye. Anakupenda. Acha kutafuta fedha nyingi kumwendea Jerusalem au Oman au popote, huko hayuko bali huyo unayemsafirisha na anayeusafirisha mwili wako mpaka huko ndiye. Yupo ndani yako. Wewe ni Taifa takatifu, tambua hivyo na shangilia wewe si mnyonge hivyo usiruhusu unyonge tena.

NCHI TAKATIFU (HOLLY LAND)

Nchi Takatifu ( Holly Land)

Kabla hujawa kama ulivyo tunaambiwa alikuwepo Mungu tu au kwa jina unaloweza kumwita kwa mazoea yako. Mungu ndiye Baba wa wote, aliye juu ya yote, aliye katika yote, na ndani ya yote. Bila yeye hakuna kinachokuwa kama kilivyo. Imeandikwa alifinyanga udongo na kupuliza ndani yake roho wa uhai, kisha binadamu akawa nafsi hai. Mungu aliye roho anaingia katika nyumba aliyoifinyanga mwenyewe. Tukiondoa roho wa Mungu aletaye uhai ndani yako wewe ni nchi, wewe ni udongo.  Kwa Mungu aliye mtakatifu sana kuamua kuacha utukufu wake na kujihengea nyumba ya udongo na kisha kukaa huko, wewe umefanyika nchi Takatifu ( Holly Land), give thanks to God. Mpe utukufu Mungu wewe ni wa kipekee you are gods na kati yenu hakuna aliye zaidi ya mwingine.

Acha kuheshimu au kuhangaika kutafuta nchi takatifu, wewe ndiye nchi takatifu. Acha kutafuta mahala patakatifu pa kuhiji wewe ndiye mahala penyewe alipopachagua Mungu.. hiji ndani yako na endelea kumtolea Mungu Dhabihu za shukrani. Utu wako ndiyo maskani yake Mungu ambayo yanapendeza kama nini? Je unayatamani makao ya Bwana? Ingia rohoni mwako kutana Naye maana imeandikwa je hamjui kwamba ninyi ni hekalu la roho mtakatifu. Mungu ni roho na ajili yake wewe upo na kwa njia yake ukafanyika kuwa kama ulivyo. Wewe ni maskani matakatifu ya Mungu mwenyewe. Acha kukimbiakimbia kumtafuta kule na kule, yeye yupo ndani ya nyumba udongo ambayo ni wewe hapo. Jifunze kumtafuta ndani yako, yupo na hayupo mbali.

Wewe ndiye Taifa takatifu la Mungu na maskani halisi ya Mungu. Wewe ndiye Mungu aliyevaa mwili unaokufa, mwili unaochakaa, na mwenye kusambaratika. Wewe ni taifa la Mungu, ndani yako ni makao halisi ya Mungu. Ukitambua hilo utaanza kuwa huru na mafundisho ya yuko kule Arusha, Abuja, Mwanza, Mwenge au popote, wewe ndiye maskani yake mtazame  kisha anza kufurahi pamoja naye. Anakupenda. Acha kutafuta fedha nyingi kumwendea Jerusalem au Oman au popote, huko hayuko bali huyo unayemsafirisha na anayeusafirisha mwili wako mpaka huko ndiye. Yupo ndani yako. Wewe ni Taifa takatifu, tambua hivyo na shangilia wewe si mnyonge hivyo usiruhusu unyonge tena.

Kimbunga Kenneth( Rainstorms)

JINSI YA KUJIOKOA NA KIMBUNGA (RAINSTORMS)

Kama tulivyokwisha sikia kwenye chombo chetu cha Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania kuna maeneo ambayo yatakumbwa na kimbunga kilichopewa jina Keneth mapema kuanzia siku ya kesho japo hatujajuwa muda rasmi lakini kinaweza kikawasili hata kuanzia leo usiku.

Tumeona ni jambo jema ku share nanyi jambo hili ili kuokoa maisha na kupunguza madhara yatakayo jitokeza kule kwa wenzetu kusini mwa Tanzania.

Kiukweli kwa mazingira na hali ya kimaisha kwa sisi waTanzania sio rahisi kujikoa na majanga haya ya vimbunga kutokana na aina ya nyumba zetu pamoja na kukosa mazingira au maeneo ya Emergency kwa matukio kama haya au kuhama kwa muda.

JINSI YA KUJIOKOA

Zaidi ya kuhama eneo la tukio Huwezi kuzuia kimbunga hata siku moja na madhara yake huwa ni makubwa sana lakini vipo vitu vichache sana ambavyo ukivifuata vinaweza kukupunguzia madhara ki mwili.

Kimbunga kitawasili na Mvua kali sana yenye upepo mkali kwahivyo baada ya  kuona hivyo fuata mambo haya yafuatayo.

1. Kitu cha kwanza usi panic tuliza moyo wako na usiwe na Papara na pia punguza woga.

2. Funga milango yote ya nyumba yako pamoja na madirisha yote usiache wazi hata sehemu moja.

3. Usikae karibu na Madirisha au Milango kwasababu maeneo hayo hayatakuwa si salama kipindi upepo huo mkali unapita.

4. Tunashauri wazazi mkae karibu na watoto wenu kipindi chote ambacho upepo utakuwa unapita.

5. Kama unaishi kwenye nyumba ambayo unahisi haitaweza kuhimili upepo mkali kwa siku ya leo omba hifadhi kwenye nyumba ambayo kuna uwezekano ikahimili upepo mkali.

6. Kuna uwezekano upepo ukaona umeizidi nyumba yako na sasa unataka kuangusha nyumba. Usitoke na kukimbia hovyo. Wewe na watu wako ingieni chini ya kitu kigumu kama vile meza kwasababu utakapo toka nje huku upepo mkali ukiwa unavuma madhara yake huenda yakawa makubwa kwasababu upepo utapeperusha Mabati, miti na vitu vingine ambavyo vikikukuta vinawedha kuleta madhara makubwa.

7. Kuna uwezekano kimbunga kikaleta maji mengi sana na kuanza kujaa ndani. Ikitokea hali hii basi mtalazimika kutoka ndani kwa usalama. Shikaneni mikono na hakikisheni mnatembea pembezo pembezo msitembee maeneo ya wazi kutokana na vitu vitavyokuwa vinapeperushwa vikiwakuta itakuwa ni madhara makubwa. Tembeeni kwa usalama na kwa haraka muwahi sehemu ambayo mtaona itakuwa na usalama.

8. Kama kimbunga kitajaza maji mengi basi ni vema yakaandaliwa madumu matupu kisha yafungwe vizuri yasipitishe hewa yatasaidia kuelea kwa wale ambao watakuwa hawajiwezi kwa kuogelea haswa watoto na wazee.

Mambo hayo kadhaa nimejaribu kupitia katika website mbalimbali kusoma kisha kuwaleteeni hapa.

Kusoma kwa undani zaidi kuhusu kumbunga hiki bonyeza Link hiyo hapo chini.

https://bbc.in/2ZvoKEn

OMBI

Tunaomba ku share post hii mara nyingi uwezavyo iwafikie wale wote watakaoweza kuiona kwasababu madhara ya kimbunga IDAI kilicho tokea nchi za jirani kusini mwa Tanzania  wiki kadhaa zilizopita yalikuwa ni makubwa saana na tuliondokewa na ndugu zetu 960 na zaidi Hakuna mtu aliejuwa kuwa madhara yatakuwa makubwa kiasi kile na mpaka sasa Takribani watu Milioni 3 bado wanahitaji misaada ya kibiinaadamu

Unakaribishwa kuchangia chochote kile kwenye comment kwaajili ya ushauri kwa wenzetu ambao watakumbwa na Janga hilo.

Monday, January 28, 2019

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI.

_*KUTOKA JESHI LA POLICE:*_
_*USALAMA WA MAISHA YAKO*_
☆ _*Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua*. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji._ _Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa._
  ☆ _*Usimpe mtu usiyemjua* simu yako apige sehemu yoyote._
  _*Unapoiona line njiani ipo chini*, usitake kuiokota na kuiweka simuni mwako ujue ina shilingi ngapi ili uchukue salio._
☆ _*Simu inapoibiwa* au_
_mwenye simu kuuawa, line hutupwa, unapoiweka simuni mwako,simuyako inahusishwa na tukio hilo_
☆ _*Unapoweka salio,* hakikisha karatasi ya vocha unaichana. Unapoitupa, watu wanaweza kufanya mauaji, wakachukua karatasi ya vocha ile na kuweka sehemu ya tukio au pale ulipoitupa kukatokea tukio na wewe kuhusishwa._
 ☆  _*Usikubali kumsajilia mtu line* yake kwa jina lako, hata kama baba yako, usikubali._
☆ _*Kumbuka namba yako umesajiliwa*, moja ya matukio hayo yakitokea na namba yako kuonekana, moja kwa moja unakuwa mtuhu-miwa namba moja._
☆ _*Wengi wamepewa kesi za mauaji*, wizi bila kujua. Polisi wapo kazini, wanapoona vidhibiti wanakuchukua kwani hawatojua kama umehusika au la. Kuweni makini ili usije kuingia matatizoni, simu yako, fedha zako, ukifanya kisicho sahihi kama uzembe, utaishia pabaya._
Kutoka Cyber Crimes
_*SIMU YAKO JEMBE LAKO*_ 🙏🏼
_*SHARE UJUMBE HUU UMPE ONYO NA MWENZAKO.*_

Monday, February 11, 2013


$550m lost in raw cashew nut sales

11th February 2013


Agriculture Non Sector Actors Forum (ANSAF)
 At least US$ 550m was lost by the country between 2008 and last year, equivalent to US$ 110m annually, due to low levels of value addition for the cashew nut crop.
Agriculture Non Sector Actors Forum (ANSAF) said this during a meeting with Members of the Parliamentary Committee on agriculture, livestock and water in Dodoma last Friday.
According to the research report commissioned by ANSAF, the country’s cashew nut sector has over the years failed to perform to its potential, which if harnessed can help create over 45,000 jobs in the country and make a significant contribution to the economy.
Through the single marketing approach and opaque auctioning system, the sales prices and analysis is also opaque. Ultimately, the payment farmers receive is diluted, due to the high level of costs at the cooperative union and warehouse level. 
Audax Rukonge, the ANSAF Executive Secretary said the research revealed that the cashew sector is the most regulated in the world, and yet Tanzania remains largely a producer of raw cashew nuts for processing in Asia.
According to Rukonge the constraints in processing cashew nuts in Tanzania largely arise from the economic environment, structure and regulation of the sector in Tanzania. 
“We cannot transform agriculture when the farmer is receiving between 57% and 65% of the sale price and approximately 15% less than the Cashewnut Board of Tanzania (CBT). This does not motivate farmers to tend their crop,” says Rukonge.
CBT was urged to ensure the sector is well coordinated, principles of cooperatives adhered to and all the decisions regarding marketing to be based on clear information that is widely shared.
Although MPs were advising the government to recover the privatised processing industries, ownershave not renovated them, Rukonge said, adding: “You do not have to encourage people to take loans and reinvest in a very old technology. That cost will never be recovered,” he said, adding that the private sector should be encouraged to invest in new processing plants.
Possible incentives could include working with financial institutions to lower interest rates for purchase of plants; extend repayment periods as well as reduction of taxes on importation of new processing plants.
The committee chairman Prof David Mwakyusa urged ANSAF to work together with the Ministry of Agriculture and Food Security to solve the problems of cashew farmers. 
He said the committee will make sure the findings are forwarded to the government.
Farmers from Mkuranga, Mtwara, Masasi and Lindi said the cashew nut crop is being used for political ends, adding that it is viewed by some as a way of extracting money from the system with farmers as pawns in the game. 
Makaburi Babtista who is a farmer from Mtwara who attended the meeting faulted the cooperatives for serving the interests of a few and that although the warehouse receipt system is good, it is highly politicised.
The institutions charged with management of the sector were not listening to the market, but to short term political factors, especially from local politicians, he said.
“Without a coordinated execution, the sector might continue to be weak and open to overcharging and profiteering. For example, compared to other countries growing cashew nuts in Africa, the crop’s inputs in Tanzania are very expensive,” he said.
Hon Mansoor Sharif, Kwimba MP said farmers have not been benefiting much from the cashew nut farming as the traders buy according to grades 1, 2 and 3, but in India the nuts are all sold as grade one.
“The farmer sells to the trader according to grades, but when they are taken to India they are all accounted for as grade one. I think farmers should be given information concerning the international market to help them set the local price,” he explained  
Last week in parliament the government threatened to revoke permits of all cashew nut buyers, who have been moving around in southern regions buying the produce at 500/- contrary to agreed price of 1,200/- per kilo of grade one cashew nuts, while the grade two sells for 960/-

Chadema calls for pressure to force out Speaker, deputy.
























Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has appealed to lawmakers and the public at large to put pressure on the Speaker of the National Assembly, Anne Makinda, and her deputy, Job Ndugai to resign.
The party has also directed its MPs to no longer walk out of the debating chamber when they felt they unfairly treated on an issue and instead they should seek justice from inside as they did during the last session.
Chadema National Chairman Freeman Mbowe, speaking during the Party’s rally at Mwembeyanga ground in Temeke District, Dar es Salaam yesterday, asked the rally participants, who he said constituted a People’s Court, to rule on whether the party’s MPs should walk out of the debating chamber or stay and fight from inside, when they disagreed with a particular decision. The people advised the lawmakers to stay put in the House.
The rally followed a march from Ubungo to Mwembeyanga by hundreds of supporters and the party’s officials led by the Chadema Secretary General Dr Wilbroad Slaa, as a sign to support the opposition legislators.
The various MPs who spoke at the rally said Speaker Makinda and her Deputy Ndugai must go as they have failed to efficiently and fairly guide Parliamentary proceedings.
They said in order to remove them, the Opposition should submit a private motion of no confidence in Parliament while the second method is for the general public to send text messages demanding their resignation.