Naibu
Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe
akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika
mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
Mnadhimu wa Kambi ya upinzani Bungeni kupitia Chadema na Mbunge wa
Singida Mashariki Tundu Lissu akihutumia wananchi na wanachama wa Chama
hicho katika mkutano wa hadhara mjini Karatu Mkoani Arusha. — Karatu Mjini Leo 30-09-2012 (4 photos)
No comments:
Post a Comment