Monday, October 8, 2012

AJALI YA PIKIPIKI ALIYO TOKEA LEO JIONI MAENEO YA MAKONGO DSM


Dereva wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa haraka wakiwa wamelazwa pembeni mwa barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo Dar es salaam baada ya kugongwa na gari aina ya Starlet wakati wakiwa katika Pikipiki na kufariki dunia papo hapo.Chanzo cha habari kimeripoti kuwa ajali hiyo iliyo saba bishwa na mwendo kasi wa pikipiki maarufu bodaboda. Ajali hiyo imetokea majira ya saa12 jioni.

No comments:

Post a Comment