Baada ya mtu mzima Rozay kukisanua mbaya katika show kali ya kijanja hapa town ya Serengeti Fiesta 2012 Tzee.Sasa habari ambazo tumezipata kutoka 254 nairobi kenya ni kwamba siku ya tarehe 27october na tarehe 28 wanatarajia kupata burudani kali kwa mtu mzima Akon Daaaaaah!!!!!!!! dzain kama nahisi show itakuwa powa sana ebu msikilize yeye mwenyewe Akon akifunguka kuhusiana na show yake tarehe 27 na 28 nchini kenya. its more about music industry and social issues in and out of bongo land
No comments:
Post a Comment