Thursday, October 11, 2012

K-LYN AJIFUNGUA WATOTO WAWILI MAPACHA.
























Habari ambayo tumeipata kuhusu mwana dada huyu ni kwamba siku ya jana amejifungua salama watoto wawili mapacha wote wakiume .. congratulations K-lyn kwa kupata watoto hao na tunakutakia malezi mazuri.

No comments:

Post a Comment