Sunday, October 7, 2012

Kilimanjaro Premium Lager
Baada ya mapumziko ya siku 3 tangu pambano la watani wa jadi, leo Wekundu wa Msimbazi wanarejea uwanjani kuendelea kutetea ubingwa wao kwa mchezo dhidi ya JKT Oljoro, uwanja wa taifa jijini. Simba leo itawakosa Shomari Kapombe ambaye ni majeruhi na Mrisho Ngassa ambaye ana Malaria.

No comments:

Post a Comment