Monday, October 8, 2012

LUDACRIS KUACHIA HIS NU SINGLE SOON

Naweza kusema kwamba Ludacris 2011 alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walitoa burudani ya kutosha kabisa katika stage ya Serengeti Fiesta katika viwanja vya Leaders Club .Sasa habari nzuri ambayo tumeipata kuhusiana na msanii huyo ni kwamba ludacris usiku wakuamkia leo alikuwa studio na mwanadada ambaye anajulikana kwa jina la M.I.A wakifanya ngoma yao mpya kabisa ambayo soon wataitambulisha. Meanwhile, M.I.A . will release her first book on October 23. T he 192-page M.I.A. documents the career and one-of-a-kind style of the Grammy-nominated artist through 300 images and several unpublished testimonies. its more about music industry and social issues in and out of bongo land

No comments:

Post a Comment