Thursday, October 11, 2012

NU JOINT: ADAM MCHOMVU A.K.A BABA JONII / BROTHER MUSA.






 










Adam Mchomvu a.k.a Baba Jonii leo hii ameachia pini jipya Brother Musa akiwa na Jonii, lililopikwa ndani ya studio za Tongwe records "hii ni moja kati ya inspiring songs na ndio maana nimeamua kuitoa hii, nimeogea na wale wazembe wote kuamka kwasababu unajua chapaa iko morning na sio usiku kuzurura na kusodomaiz" amesema Adam sikiliza pini hilo hapa chini.

No comments:

Post a Comment