Wednesday, October 10, 2012

UBUNIFU AU KUJIVUNJIA HESHIMA?????
















Diamond akiwa na wanenguaji wake kenye stage ya fiesta 2012
Hivi kweli kwamtu mwenye akili anawezafanya jambo kama hili tena mbele ya uma wa watu wengi na kwenye jukwaa ambalo nina angaliwa allover the world na huyu kijana kufanya kitendo hiki ambacho nikinyume na maadlili ya Kitanzania hwaswa kwa mtoto wakiume uonyesha makalio yake. Hii iatasababisha jaamii yakitanzania kama ilivyo ada  haitosita kumuhusisha na vitendo vya ushoga yeye na waneguaji wake.Kiukweli amejishushia heshima kweli hafai kwnye jamii.

No comments:

Post a Comment