WAISLAMU WAVAMIA KITUO CHA POLISI MBAGALA,HALI HALISI ILIVYO MAGALA.
Kwa kile kilichoelezewa kuwa chanzo ni ubishani wa vijana wawili wanaokadiriwa kuwa kidato cha kwanza huko Mbagala, kubishana juu ya kukojolea kitabu kitakatifu cha kiislam (mas-haf) unaweza kufa au la, ndicho kilichopeleka waislamu kuchoma kituo kidogo cha polisi, kwa madai ya kumtaka mtoto huyo aliekimbilia kituoni hapo baada ya kufanya kitendo hicho cha kukojolea kitabu hicho kitakatifu katika mabishano hayo
No comments:
Post a Comment