Wednesday, October 3, 2012

Ujenzi wa barabara ya morogoro road ukiendelea kwa kasi kubwa, na kampuni ya kijerumani STRABAG kamainavyo onekana hapo kwenye picha ni daraja la kimara mwisho likiwa kwenye hatua za ujenzi na wakandarasi wa kijerumani wa kampuni ya strabag wakifanya ujenzi kwa umakini wa hali ya juu,

No comments:

Post a Comment