CHECK OUT:PREZZO AKI FREESTYLE KWA AJILI YA "ONE COMPAIGN".
Prezzo ni moja kati ya wasanii ambao wanatokea pande za 254 nairobi Kenya.Tunafahamu kwamba msanii huyu baada ya kuwa mshindi katika jumba la Big Brother Star Game alipata shavu la kuwa Balozi wa One Compaign . Sasa hii ni moja kati video ambayo mtu mzima Prezzo akipiga zake Freestyle kwa ajili ya One Compaign.
No comments:
Post a Comment