Search This Blog

Wednesday, October 10, 2012

LADY J DEE SOON KUTOA ZAWADI YA AMBAYE ATAKAYE BAHATISHA JINA LA SHOW YAKE KATIKA TV.
























 Najua mwana dada Lady J Dee unamfahamu kwamba ni moja kati ya wasanii wakongwe katika game la muziki wa hapa Tzee.S asa habari ambayo tumeipata kuhusu mwana dada huyu ni kwamba anatarajia kuanza project mpya ya kipindi chake cha tv n a atasimamia yeye mwenye lakini sasa mwana dada huyu bhana aliandika ujumbe mfupi katika ukurasa wake wa Facebook kwamba mtu yoyote atakaye bahatika kujua jina la show yake pamoja na tv ambayo itakuwa ikirusha show yake basi atampa zawadi.Huo ndiyo ujumbe uliyoandikwa na mwanadada Lady J Dee katika ukurasa wake Facebook.

No comments:

Post a Comment