KANYE WEST AJICHUKULIA TUZO SITA NDANI YA BET AWARDS 2012

Naweza kusema kwamba msanii ni moja kati ya wasanii wakali kwa upande wa muziki wa Hip Hop nchini American. Sasa kama unakumba ile siku ya tarehe 29 mwezi wa Septemba ndiyo ilikuwa siku ya kugawa Tuzo za Bet Hip Hop Awards 2012 kwa wasanii walifanya vizuri katika game la muziki nchini American lakini show hiyo bhana dzain aikuruka hewani kwani zilirekodiwa sasa jana bhana ndiyo dzain waliweka matokeo ya wasanii ambao waliojichukua tuzo hizo.Baada ya kuwekwa matokeo hayo sasa mtu mzima Kanye west akaonekana amejichukulia Tuzo sita za BET Hip Hop Awards 2012 Hii ndio List nzima ya Winners wa BET Hip Hop Awards 2012: Best Hip-Hop Video Drake (featuring Lil Wayne), “HYFR” Reese’s Perfect Combo Award Kanye West, 2 Chainz, Big Sean and Pusha T, “Mercy” Best Live Performer The Throne Lyricist of the Year Kendrick Lamar Video Director of the Year Hype Williams Producer of the Year Kanye West MVP of the Year Rick Ross Track of the Year The Throne, “N—as in Paris” CD of the Year The Throne, Watch the Throne DJ of the Year DJ Khaled Rookie of the Year 2 Chainz Made You Look Award (Best Hip Hop Style) Kanye West Best Club Banger The Throne, “N—as in Paris” Best Mixtape Meek Mill, Dreamchasers 2 Sweet 16: Best Featured Verse 2 Chainz, “Mercy” Hustler of the Year Jay-Z Impact Track Nas, “Daughters” People’s Champ Award 2 Chainz (featuring Drake), “No Lie” Best Hip-Hop Online Site WorldstarHipHop.com
No comments:
Post a Comment