MZIGO UPO KITAANI UNAKUSUBIRI WEWE TU KUJITUPIA.
Nafahamu kwamba wewe ni shabiki wangu nambari moja hapa Tzee hata nje Tzee sasa basi ile time ya kujitupia T shirt zangu za Fetty Fetilicious zenye high Qulity ndiyo hii na kama wewe ni mkazi wa hapa Dar es Salaam unaweza ukajisongeza pande hizi hapa na ukajiondokea na T shirt hii kali, Zizzou Victoria,Born2shine Mwenge,Jaffarai car wash Mikocheni karibu na TMJ Hospital bila kusahau wale mashabiki wangu wa A Town city namaanisha Arusha unaweza zako ukajisongeza studio za Dx zinazoitwa Noizmekah
No comments:
Post a Comment