Search This Blog

Tuesday, October 9, 2012

NEW JOINT/ RICK ROSS – ‘THE BLACK BAR MITZVAH’ [MIXTAPE]




  Ni moja kati ya wasanii ambao walitoa burudani kali sana katika ile stage ya muonekana mpya na burudani ile ile katika viwanja vya Leaders Club.Sasa habari nzuri ambayo tumeipata kutoka kwa mtu mzima Rozay Boss ni kwamba ameachia rasmi leo mixtape yake mpya ambayo imebeba ngoma 18 na mixtyape hiyo inakwenda kwa jina la "THE BLACK BAR MITZVAH " Kama unahitaji mixtape ya mtu mzima Rozay Boss ebu ingia hapa bhana ujipatie ngoma zake. http://www.datpiff.com/Rick-Ross-The-Black-Bar-Mitzvah-mixtape.402975.

No comments:

Post a Comment