Search This Blog

Tuesday, October 9, 2012

NU VIDEO:GUCCI MANE FT YOUNG SCOOTER - "MONEY HABITS"






  Baada ya kusikia habari kutoka pande za state kwamba mtu mzima Gucci mane alifanya collabo na young scooter katika ngoma ambayo waliipa jina la Money Habits . Sasa ile time ya kuangalia jinsi walivyofanya yao katika video mpya ya Money Habits ndiyo hii sasa ebu click hapo .

No comments:

Post a Comment