Search This Blog

Monday, November 5, 2012

EXCLUSIVE:MISS TRINITI KUHUSISHWA KATIKA COLLABO MPYA YA A.Y NA SEAN KINGSTON.






















Msanii mahiri kutoka pande za Jamaica almaarufu kama Ms.Triniti anayetamba na ngoma kali hapa Africa kama If I was Ur Girl,Boungce Along{E-Dee} na hizi ndizo ngoma ambazo mpaka zilimpelekea kufanya collabo na wasanii wa hapa Tzee kama A.Y na CPwaa sasa Latest info kutoka kwa A.Y ni kwamba baada ya kufanya ngoma yake mpya katika studio ya Bongo record chini ya producer P funk alipokea ujumbe kutoka kwa mwana dada Ms.Triniti kwamba naye anahitaji kuhusishwa katika collabo hiyo .A.Y baada ya kusikia hivyo alituambia kwamba atamuweka katika ngoma hiyo mpya ambayo inakwenda kwa jina la " Touch me Touch me" pia aliweza kufunguka na kuweza kutiririka na kusema soon anatarajia kwenda nchini marekani kwa kuanza kufanya project ya video hiyo mpya ya Touch me Touch me @info b

No comments:

Post a Comment