Search This Blog

Monday, October 8, 2012

 HAPA HEKAHEKA YA LEO KTK LEO TENA CLOUDS FM, HOUSEBOY KUMUUA HOUSEGIRL KIGAMBONI.

Huu ni mwendelezo wa Hekaheka ambayo inahusu mvulana msaidizi wa kazi za nyumbani alivyomuua msichana ambae ni msaidizi wa kazi za nyumbani pia, wote walikua wanafanya kazi nyumba moja Kigamboni Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment