Search This Blog

Wednesday, October 3, 2012


Kocha wa Simba Milovan Cirkovick akiongea na mtangazaji wa kituo cha Supersport Jokate Mwegelo baada ya mchezo ambapo alisema Simba ilicheza vizuri huku akiwapongeza wachezaji wake na kuisifia pia Yanga kuwa ilijitahidi na imeimarika tofauti na mchezo wa mara ya mwisho

No comments:

Post a Comment