SHILOLE ATOA ONYO KWA WANAWAKE WENZAKE
Msanii wa bongo fleva almaarfu kama Shilole anayetamba na ngoma kali hapa Tzee kama Dume dada , Lawama,Dudu na kupeleka mashabiki wake kumkubali pale anapokuwa jukwaani sasa. Latest info kutoka kwa mwana dada huyu ni kwamba jana baada ya kukutana naye aliweza kufunguka na kusema kwamba yeye alikuwa ni mtu wa kwanza ambaye aliguswa pale aliposikia Ray C kapatwa na matatizo kama haya tunatoyasikia katika vyombo vya habari ila akatoa onyo kwa wanawake wanaojihusisha au kama wanaume zao wanaojihusisha na madawa ya kulevya waache hiyo tabia ya kujiendekeza kwani ni madhara kwa afya ze tu . @info by Shilole
No comments:
Post a Comment