Search This Blog

Friday, October 19, 2012

MAANDAMANO YA WASLAMU DAR NA MATUKIO YAKE.


















Polisi wakiimarisha usalama mitaa ya kariakoo pale ambapo waislamu waliamua kuandamana kuelekea Ikiulu kudai kuachiwa kwa shekh Ponda na wenzake


















mama akiwa amezimia baada ya mshtuko wa mabomu ya machozi


















































Kijana anye shukiwa kuwa nimfuasi wa kiislam akiwa ame tiwa nguvuni na askari wa jeshi lapolisi tanzania kikosi cha kutuliza ghasia FFU katika eneo la kariakoo mtaa wa msimbazi jijini Dar es salaam tanzania.

No comments:

Post a Comment