%5B1%5D.jpg)
Nishike mkono ndio single mpya ya mzee wa sikati tamaa Rapper Darasa Feat Winnie ambayo itaanza kusikika kuanzia kesho kupitia Clouds Fm, EXCLUSIVELY unaweza kuiskiliza na kuidowload hapa. pini limetengenezwa na Gard pamoja na Manek kupitia AM Records. nimeongea na darasa kwa ajili yako na hivi ndivyo alivyotiririka "Plan zangu ni kutimiza moja kati ya ndoto zangu, ambayo ni kuwa na album haijalishi inalipa au hailipi kiasi gani nilishasema neno hilo miaka mingi iliyopita. Nilikua nanunua album ya machozi jasho na damu so najidai na album ikiwa ngoma itaenda vizuri inshaalah. Pia movie ya sikati tamaa kama mungu akipenda itakua mtaani soon ambayo inaeleza maisha na hustle zangu, na ndani wako watu kama Dj Choka, Madee, Godzilla, Adam Mchomvu, Ze boy na wengine wengi wakiwemo bongo movies na mimi nikiwa kama muhusika mkuu" amesema Darasa
No comments:
Post a Comment