Search This Blog

Tuesday, October 16, 2012

JAY Z AFUNGUKA KUHUSU KAMPENI ZA BARRACK OBAMA.




















Kutoka pande za Obama land tunakutana na msanii anayefanya vizuri katika game la muziki huyu si mwingine ni Jay z sasa basi msanii huyu amefunguka kuhusiana na Rais Barrack Obama huku akisema kwamba anasifa za kuchukua uongozi pia ni rais mwenyewe changamoto mbalimbali hapa American.Hayo ndiyo maneno ya Jay Z kama vipi ebu fanya kama una click hii video uone jinsi alivyotiririka!!!!!!!! its more about music industry and social issues in and out of bongo land

No comments:

Post a Comment