BOB JR ANYANG'ANYWA GARI MJINI HAPA.
Yule mwenye rasha rasha za chocolate , Rais wa Masharobaro na mmiliki wa Sharobaro Rec Mjini hapa inasemekana kwamba amenyang'anywa gari alilokuwa na mchizi ayechukua gari hilo anaeitwa Dallas Habari zaidi huyu hapa Gossip Cop Soudy Brown U headdddddd!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Samahani lakini.....mambo ya kibinadamu hayooooo
No comments:
Post a Comment