Search This Blog

Thursday, October 11, 2012

BEEF ILIYOTOKEA KATI YA 50 CENT NA FRENCH MONTANA.









  Kutoka pande za state tunakuna na wasanii wawili ambao kiukweli kila mmoja anafanya vizuri katika game la muziki nchini Marekani.Sasa kuna kitu ambacho kimetokea leo hii asubuhi nchini marekani baada ya mtu mzima French montana kufunguka kuhusiana na kazi za mtu mzima 50 cent katika game la muziki.French montana baada ya kuhojiwa leo katika kituo cha radio nchini Marekani alifunguka na kusema kwamba 50 cent a meshuka ki muziki baada ya ile beef ambayo iliyokuwa kati yake na mtu mzima Rozay. L akini French akuishia tu hapo kwani alisema kwamba beef hii ndiyo imemfanya 50 cent kukosa mashabiki wengi na mshabiki wengine kuamia kwa mtu mzima Rozay. French aliendelea kufunguka juu ya 50 cent na kusema Miaka michache iliyopita 50 Cent alikuwa akiuuza copi Milioni 10 kwa kila Album yake lakini kwa sasa hawezi kuuza hata copi million moja. Baada ya 50 cent kusikia maneno ya French Montana ,50 aliamua kuingia twitter na kuanza kumchana live French Hizo ndizo Twitter zao ambazo walikuwa wakijibishana mpaka beef kutokea   

No comments:

Post a Comment