Search This Blog

Tuesday, October 9, 2012

CHECK OUT:KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WAKIWA ZAO MIAMI





















Kutoka pande za state tunakutana na moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika muziki wa hip hop huyu si mwingine ni Kanye west.Siku za hivi karibu msanii huyu alionekana maeneo ya Miami akiwa na Kim Kardashian huku mvua ikinyesha na wakiwa wame share umbrella. na hizo ndizo picha ambazo zikionyesha mtu mzima Kanye west akiwa na Kim Kardashian its more about music industry and social issues in and out of bongo land

No comments:

Post a Comment