Search This Blog
Monday, October 8, 2012
JAY-Z &BEYONCE.....
Ni moja kati ya wasanii kwa namna moja au nyingine naweza kusema kwamba wanafanya vizuri katika game la muziki huyu si mwingine namzungumzia mtu mzima Jay z .Msanii huyu bhana baada ya kupiga show kadhaa katika ukumbi wa Barclays Center in Brookly n,Sasa habari ni kwamba msanii ameona ngoja atoe live in Brooklyn kwa mashabiki wake ili waweke kama kumbukumbu ya historic moment kwa kile ambacho alichokifanya katika ukumbi wa Barclays Center. The hip-hop tycoon will release Live in Brooklyn , an 8-track optic EP of live recordings from his Barclays concerts. The digital album also includes eight live performances and will be available exclusively on iTunes on Tuesday, October 9, via Atlantic Records. its more about music industry and social issues in and out of bongo land
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment