JOKATE MWEGELO AZINDUA “KIDOTI LOVING”
Siku ya jana katika hoteli moja inayofahamika kwa jina la Serena iliyopo hapa Town kulikuwa na uzinduzi rasmi wa kampuni ya KIDOTI LOVING ambayo kampuni hii inamilikiwa na mwana dada ambaye aliwahi kuwa mshindi wa pili wa miss Tanzania 2006 huyu si mwingine ni Jokate Mwegelo.Jokate alifunguka jana na kusema kwamba kampuni yake itakuwa inahusika na vitu mbalimbali kama vile nywele za kina dada yaani (weaving) pamoja na mavazi. Hayo ndiyo maneno ya Jokate siku ya jana katika uzinduzi wake wa kampuni yake ya "KIDOTI LOVING
No comments:
Post a Comment