Search This Blog
Monday, October 8, 2012
MAINO SOON KUACHIA NGOMA YAKE NU
Kutoka pande za state tunakutana na msanii ambaye kipindi cha kinyuma alikuwa anatamba na pini ambalo daaaah!!! likichezwa Club na sehemu zengine basi ilo ngoma lazima watu wanyanyuke na waanzaee kucheza na hiyo ngoma ilikuwa inafahamika kwa jina la All the above ambayo alikuwa amemshirika T pain .Kwa sasa habari ambayo dzain ime headline sana kwenye mitandano mbalimbali ni kwamba msanii huyu soon anatarajia kuachia ngoma yake mpya katika upcoming mixtape ambayo inakwenda kwa jina la The Mafia ambayo mixtape hiyo ataitoa October 9th. Sasa basi dzain kwale mashabiki wa Maino inawahusu hii.!!..............
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment