Search This Blog

Friday, October 12, 2012

MBAGALA HALISI SWARI

Wana nchi wataka kuchoma kituo cha polisi mbagala kizuiyani baada ya mwanafunzi kukojolea msaafu hiiyote imetokea mara baada ya ya wanafunzi hao kubishana kuhusu msahafu ni wanafunzi wa kidato cha kwanza walikuwa wanabishana kuhusu msahafu na ndipo kijana huyo kuukojolea msaafu na kwa kuambiwa akiukojolea atakuwa kichaa, na matokeo yake mwenzie aliye kuwa anbishana naye kuyoa taarifa kwa waislamu nakuamua kufanya vurugu na kudiriki kkutaka kuchoma kituo chapolisi na na shule moto muda huu mabomu yana unguruma huko mbagala na magari ya watu yame haribiwa vibaya likiwemo gari la clouds media group la waandishi wa habari .Polisi wa kutuliza gasia wanazidi kupambana na hali hiyoo n kuhakikisha mali na watu wanakuwa salama bilama,malizawatu zimeharibika maduka yanaibiwa kwakeli halisio nzuri mbadala kazuiyani watu wamejeruiwa vibaya htujapata taaeifa za vifo.

No comments:

Post a Comment