Search This Blog

Sunday, October 7, 2012

Me huu msemo wa HIPHOP HAIUZI huwa hauniingii akilini hata kidogo,inakuwaje huo mziki mnaosema unauza wa kina DIAMOND,BOB JUNIOR,BARNABA,DIMPOZ,etc kwenye show wanakalishwa vibaya na mziki unaoitwa hauuzi wa kina FID,ROMA,JOH,STAMINA,FA,etc.Au mauzo yepi yanayozungumziwa??

No comments:

Post a Comment