Search This Blog

Monday, October 8, 2012

SUMAYE ATOA LA MOYONI.

Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya tatu Mh FREDRICK SUMAYE atimaye apsua jipu kuhusu chama champinduzi. Atoa tahadhari na angalizo kwa wanchama wenzake mata baada yakuwa kimya kwa muda mrefu kigogo huyo asema hana ugomvi na waziri mstaafu Mh EDWARD LOWASA,na kama ataakitaka kugombea uraisi atagombea kwani LOWASA hamzuilolote.Asikitishwa na mazingira ya rushwa zamtandaoni zinazo tolewa na wagombea wa nyazifa mbalimbali ndani ya chama CCM, adai mtu mmoja anaweza kununua zaidi ya wilaya 80,Akanusha kujiunga chadema asema niuvumitu yeye ni mwanachama mwaminifu wa CCM.

No comments:

Post a Comment